Picha: WCB walivyowasha moto na kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki Iringa

Entertainment
Diamond Platnumz na Team yake baada ya kuangusha burudani Jangwani Sea Breez taerehe 24, waliupeleka moto huo wa burudani kwenye uwanja wa Samora, Iringa. Diamond Platnumz, wasanii wengine wa WCB walioangusha show ni pamoja na Rich Mavoko, Raymond,
 
 
45
0 Comments

Ben Pol ataja kiasi cha pesa atakacho'charge 2017 ili kufanya nae Collabo

Entertainment
Kama ulikua na mpango wa kumshirikisha Ben Pol kwenye ngoma yako mwakani, Jiapnge vizuri. HitMaker wa 'Moyo Mashine' Ben Pol ametangaza dau aatakalowacharge wasanii wote watakaotaka kumshirikisha kuanzia mwakani ambalo litakuwa dola 5,000 k
 
 
46
0 Comments

MTV watoa orodha ya Rappers bora zaidi 2016, Kanye West aongoza

Entertainment
Kituo cha MTV kimemtaja Kanye West kuwa ndiye rapper mkali zaidi kwa mwaka 2016. Vigezo vilivyotumika kuwapata wasanii kumi wa Hip Hop waliofanya vizuri kwa mwaka huu ni pamoja na mashairi makali, ukubwa wa muziki wao kwa mashabiki, mitindo yao na
 
 
70
0 Comments

Vitamin Music Group ya Belle 9 yamchukua, Muigizaji Gabo Zigamba

Entertainment
Kampuni ya Vitamin Music Group Limited ya msanii wa muziki Belle 9 imemtambulisha mshindi wa tuzo ya muimbaji bora wa EATV 2016, Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ kuwa ni msanii aliyechini ya kampuni yao. “Kwa sasa ndani ya Vitamin Music
 
 
82
0 Comments

Victoria Kimani awatibua tena wakenya, adai hana mpango wa kufanya collabo na msanii yoyote wa nchi hiyo

Gossip
Kama ulikuwa unasubiri collabo ya msanii wa Kenya, Victoria Kimani na msanii mwingine wa Nchi hiyo basi utasubiri sana, Victoria Kimani amesema kwasasa hana mpango wa kufanya Kolabo na Msanii yeyote yule kutoka Kenya kwa kile alichodai kuwa hakuna msanii
 
 
53
0 Comments

Taarifa ya Polisi kuhusu ajali aliyopata Darassa, Hanscana na Team yake

Entertainment
December 18 HitMaker wa 'Muziki' Darassa aliripotiwa kupata ajali akiwa safarini kutokea Kahama ambako alikua na show wikiendi iliyopita, Hatahivyo kwa bahati nzuri hakuna aliyeumia zaidi ya majeraha madogo tu.
 
 
64
0 Comments

Mahakama nchini Uganda yaamuru Wizkid kukamatwa

Entertainment
Msanii Wizkid kutoka Nigeria huenda akatupwa jera baada ya kuahirisha Tamasha alilopangiwa kuperform Desemba 3 mwaka huu nchini Uganda na yeye kutoa taarifa kuwa hatakuwepo bila kutoa taarifa za kiundani za kutokuhudhuria kwake wala Menejimenti yake kufik
 
 
65
0 Comments

Orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album mpya ya Navy Kenzo 'Above in a minute'

Entertainment
Wasanii wanaounda kundi la 'Navy Kenzo' wameachia orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye album yao mpya 'Above in a minute' Album hiyo ambato inatoka mwezi huu wa Disemba itakuwa na nyimbo 11, huku kukiwa na collabo za wakali wengine k
 
 
48
0 Comments

Tunda Man: Mashabiki hawajui tu Diamond ni mtu wangu tangia hata hajawa staa

Entertainment
Mkali kutoka Tip Top Connection, Tunda Man amefunguka kuhusu ukaribu wake na Diamond. Tunda Man amejikuta kwenye mtihani baada ya mashabiki kumuandama kuhusu Cover ya wimbo wake mpya wa 'Debe Tupu' ambayo inamuonesha Paka lakini kwenye kioo in
 
 
60
0 Comments

Rapper Yo Gotti mwenye collabo na Diamond asainiwa Roc Nation ya Jay Z

Entertainment
Rapper wa Marekani, Yo Gotti amejiunga na Rihanna, J cole, Vic Mensa na wengine kwenye lebo ya muziki ya Jay Z, Roc Nation. Alhamis hii, Jay Z na hitmaker huyo wa Down In The DM, walitangaza rasmi ushirikiano kati ya Nation na Collective Music Grou
 
 
50
0 Comments