Upload your avatar
76
LISTENING
Kingkapita ni Hitmaker wa nyimbo kama KUNATATIZO KWANI featuring Godzilla , Shikamoo Pesa pia ni X member wa WAKACHA kundi linaloundwa na JUX,CYRIL na GigaFloo Kingakpita ni owner wa KAPITATV, KAPITAFM zote zikiwa zinapatikana online 24/7 kupitia www.kapitatv.com